⚠ NJIA NNE (4) ZINAZOHARIBU UHAI WA BETRI LA SIMU YAKO
Ikiwa tunataka kuendelea kutumia uwezo wa simu katika ubora wake , kuichaji ni mojawapo ya njia maarufu zaidi kuitunza simu yako.Idadi kubwa ya watumiaji huwa hawafikirii juu ya kuchaji simu zao na kwa kawaida hufanya hivyo mara tu uharibifu unapokuwa tayari umeshatokea mfano simu haikai na chaji tena, simu imevimba...